Friday, January 1, 2010

SALAMU ZA MWAKA MPYA WA 2010

Tovuti ya Kyela Community Initiatives inawatakia heri ya mwaka mpya wasomaji na wapenzi wa tovuti hii. Mungu awape nguvu na furaha katika maisha yenu na familia zenu. Mwaka huu wa 2010 uwe ni wenye mafanikio kwako na familia yako. Tovuti hii inaomba radhi kwa kutoweza kutoa maada kwa mwezi wa Decemba, 2009 kwa sababu ambazo zilikuwa nje ya uwezo wake.

Lakini tunapenda kuwaahidi kuwa muda si mrefu mtaendelea kupata maada nzuri na zitakazosaidia maedeleo ya jamii zetu na Taifa letu la Tanzania kwa ujumla.

Mungu wabariki Watu wako hapa Duniani ili wakujue kuwa wewe ndiye muweza.
Kyela Community Iniatives.

1 comment:

  1. Mbona ni mwaka umepita bila kupost kwenye blog yako kuna tatizo gani?

    ReplyDelete