Friday, October 9, 2009

Kyela Community Initiatives

Hapa tutajadili kwa upana zaidi na kupeana taarifa kuhusu maendeleo ya jimbo la Kyela. Taarifa zitazojadiliwa hapa zitahusu Uongozi, Uraia, Uwakilishi, Ushirikishwaji, Uwazi, Upangaji, Utekelezaji, Ufuatiliaji, Utetezi, Uwezeshaji, Upatikanaji, Ujasiriamali, Ukweli, Ushiriki, Ufahamu, Ushawishi, Uchumi, Ustawi, Uwajibikaji na Uhuru. Haya yote yatafanyika chini ya Kyela Community Initiatives (Kyeci); Dar-es-Salaam, Email: kyela@live.com

No comments:

Post a Comment